MILIKI VIWANJA VILIVYOPIMWA IHUMWA — image 1
1 / 5

MILIKI VIWANJA VILIVYOPIMWA IHUMWA

IHUMWA

One of the projects completed by Venny Construction & Real Estate

1,000

Plot Size

About This Property

Miliki viwanjia vilivyopimwa Ihumwa jirani na barabara ya mzunguko maarufu kama Outer Ring Road. - Mradi upo jirani na Bandari Kavu - Km 3 kutoka Magufuli City - km3 kutoka Benjamini mkapa Hospital - km8 kutoka katikati ya jiji la Dodoma ________________________ Bei ya Viwanja - Kwa Sqm 1 sh 15,000 hadi 30,000 kulingana na matumizi ya eneo, kama ni eneo kwaajili ya makazi, au kwaajili ya Bishara au makazi na Biashara.

Amenities

-

Property Details

Category
land
Listing
Completed project
Location
IHUMWA
Plot Size
1,000
Chat with us